Chalamila apewe majukumu mengine

Chalamila apewe majukumu mengine

Apewe majukumu mengine 😳😳 ama apumziahwe kabisa, kwa akili hizi bado mnataka apewe jukumu jingine, 😂😂

Arudi atumie akili zake kuishi maisha ya mfukoni mwake, sio kula, kulala, maji, umeme, gari, mafuta, service, kila kiti cha serikali.
 
Ni aibu Mkuu wa mkoa kuwa mropokaji kiasi hiki,ni maajabu kama hatapigwa chini kwenye hiyo nafasi,amekuwa mropokaji kwenye jambo lolote.
Chalamila abaki hapo , wabongo hamtaki ambiwa ukweli sio
 
Binafsi namkubali chalamila mapungufu kila mtu anayo.
 
Binafsi namkubali chalamila mapungufu kila mtu anayo.
  1. Alisema wana Mwanza waandike mabango ya matusi kwa boss wake
  2. Alisema wauza uduvi wataolewa
  3. Alisema wezi wachinjwe
  4. Leo ndiyo hayo, je hana regional think tank ya kuaddress changamoto za mkoa wake?
 
Back
Top Bottom