The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeshiriki au kuhamasisha maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7. Kauli hiyo ameitoa katika kipindi hiki ambapo maandalizi ya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanakaribia, huku akionya juu ya taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uwepo wa maandamano nchini Tanzania.
Je, unaitafakari vipi hatua ya mamlaka ya Dar es Salaam.
Soma Pia:
Je, unaitafakari vipi hatua ya mamlaka ya Dar es Salaam.
Soma Pia:
- RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
- Albert Chalamila: Nimesoma mitandaoni kuhusu fujo Oktoba 29, ndugu zangu mji wenu uko salama