The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Ataliwa na mbwa mwitu sio?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema vyombo vya ulinzi na usalama havitamvumilia yeyote atakayehamasisha vurugu katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba).
Tutahamasisha kuandamana na hatatufanya chochote. PERIODMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema vyombo vya ulinzi na usalama havitamvumilia yeyote atakayehamasisha vurugu katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba).
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema vyombo vya ulinzi na usalama havitamvumilia yeyote atakayehamasisha vurugu katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba).
Mwambie Tanzania Ina mapolisi 40000 tu pia mwambie wanao omboleza siyo wajinga ni watu kama yye tuMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema vyombo vya ulinzi na usalama havitamvumilia yeyote atakayehamasisha vurugu katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba).
Faki zati sonofabitch!Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeshiriki au kuhamasisha maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7. Kauli hiyo ameitoa katika kipindi hiki ambapo maandalizi ya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanakaribia, huku akionya juu ya taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uwepo wa maandamano nchini Tanzania. Je, unaitafakari vipi hatua ya mamlaka ya Dar es Salaam.