Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Kwenye siasa ukiwa mkweli mara wanakupoteza. Yaani unatakiwa daima uwe chawa tu AKA nyumbuNa ukiwa mkweli tz unachukiwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye siasa ukiwa mkweli mara wanakupoteza. Yaani unatakiwa daima uwe chawa tu AKA nyumbuNa ukiwa mkweli tz unachukiwa sana
Sasa la kuuliza hilo? Interview za kibongo zte ni scripted.Kwa siasa za bongo usikute mchezo ushasukwa hapo kumpa mtu political mileage. Maswali yashaandaliwa na majibu yashaandaliwa kwaiyo ni kàma sinema tu.
Kwanini mkuu?Hivi kuna watu bado wanaangalia ITV