Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 9,164 Reaction score 18,402 Feb 14, 2025 #21 mriringa said: Na ukiwa mkweli tz unachukiwa sana Click to expand... Kwenye siasa ukiwa mkweli mara wanakupoteza. Yaani unatakiwa daima uwe chawa tu AKA nyumbu
mriringa said: Na ukiwa mkweli tz unachukiwa sana Click to expand... Kwenye siasa ukiwa mkweli mara wanakupoteza. Yaani unatakiwa daima uwe chawa tu AKA nyumbu
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 4,407 Reaction score 16,942 Feb 14, 2025 #22 Mbona kama ana tetekuanga?
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 4,407 Reaction score 16,942 Feb 14, 2025 #23 Natafuta Ajira said: Kwa siasa za bongo usikute mchezo ushasukwa hapo kumpa mtu political mileage. Maswali yashaandaliwa na majibu yashaandaliwa kwaiyo ni kàma sinema tu. Click to expand... Sasa la kuuliza hilo? Interview za kibongo zte ni scripted.
Natafuta Ajira said: Kwa siasa za bongo usikute mchezo ushasukwa hapo kumpa mtu political mileage. Maswali yashaandaliwa na majibu yashaandaliwa kwaiyo ni kàma sinema tu. Click to expand... Sasa la kuuliza hilo? Interview za kibongo zte ni scripted.
T The Coin Man Senior Member Joined Jan 2, 2025 Posts 156 Reaction score 167 Feb 14, 2025 #24 njiwa said: Hivi kuna watu bado wanaangalia ITV Click to expand... Kwanini mkuu?