Chalamila: Kama unaona Dar kuna foleni hamia kijijini

Chalamila: Kama unaona Dar kuna foleni hamia kijijini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Jumatatu Desemba 18, 2023 amesema kama kuna mkazi wa Dar es Salaam analalamika kuwapo kwa foleni katika jiji hilo, ahamie vijinini.

“Kwa yeyote anayeendelea kulalamika mkoa huu labda una mambo mengi ikiwemo foleni, kuna vijiji vingi sana bado havijajaa wanaweza kuhamia huko.

“Mkoa wa Dar es Salaam upo salama na hasa kwa wakati huu wakati wa kujiandaa na sherehe mbalimbali, kila mwaka wanaimarisha ulinzi lakini mwaka huu umeimarishwa zaidi,” amesema RC Chalamila.

Hayo ameyazungumza leo katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya ustawi wa jamii na miaka 50 ya Chuo cha Ustawi wa Jamii yaliyofanyika jijini hapo.
Tena nawakaribisha huku nilipo unaweza kulima miwa ,mihogo ,ndizi ,vitunguu na minazi miaka mitatu tu!
 
Ujinga uliokujaa akilini ni mwingi,pumbavu ww , bother yule segregator mkuu wa apartheid ni mtu wa quote misemo yake .
Kabla ya colonisation na slavery ,hamna civilisation iliyokuwa imeendelea kama Afrika.
Kingdoms kama za mansa musa ,ambayo university ya kwanza duniani ilijengwa ilikuwepo africa .
Waafrika tuache kijidhalilisha
Ukweli mchungu huwa una kawaida ya kuchoma sana rohoni.
Tuvumilie, na tuchukue Hatua ili kuuthibitishia Ulimwengu kwamba P.W. Botha ni MUONGO.
 
20231218_135952.jpg
 
Ujinga uliokujaa akilini ni mwingi,pumbavu ww , bother yule segregator mkuu wa apartheid ni mtu wa quote misemo yake .
Kabla ya colonisation na slavery ,hamna civilisation iliyokuwa imeendelea kama Afrika.
Kingdoms kama za mansa musa ,ambayo university ya kwanza duniani ilijengwa ilikuwepo africa .
Waafrika tuache kijidhalilisha
Tuache sifa za historia...kujificha kwa historia hakusaidii..bado tunaujinga mwingi sana....Tutatue matatizo na changamoto za sasa..
 
Katafute mihogo kukaanga utafune naona tumbo limeanza kukuletea shida!
Umenikumbusha enzi zile kwenye vikao vya chama na serikali mlivyokuwa mnagawiwa pipi na maji kama mlo kamili.Au viazi vikavu na uji wa mhogo kama lunch.Jiwe kiboko yenu.🙏😜😜😜😜😜
 
Umenikumbusha enzi zile kwenye vikao vya chama na serikali mlivyokuwa mnagawiwa pipi na maji kama mlo kamili.Au viazi vikavu na uji wa mhogo kama lunch.Jiwe kiboko yenu.🙏😜😜😜😜😜
Mgawaji ulikuwa wewe si unakumbuka badala ya kugawa pipi tatu tatu ulikuwa unagawa moja aibu ile siku ulipokamatwa na kiroba cha viazi na unga wa mihogo baada ya pale ukahamia ufipa kwa aibu njaa mbaya sana Mmawia
 
Badala ya kuzungumzia ufumbuzi wa tatizo, kama kuwasihi watu waendeshe kwa ustaarabu na kwa kuzingatia sheria za barabarani, kufanya kazi tokea nyumbani kwa wanaoweza, kuboresha usafiri wa umma, n.k., yeye anarahisisha tu mambo kienyeji enyeji!

A pea-sized brain inside a humongous head.
21c60a26847a622d85c2d914_rw_600.jpg

humongous head.
Just incase kama kuna ambaye hajui maana yake.
 
Badala ya kuzungumzia ufumbuzi wa tatizo, kama kuwasihi watu waendeshe kwa ustaarabu na kwa kuzingatia sheria za barabarani, kufanya kazi tokea nyumbani kwa wanaoweza, kuboresha usafiri wa umma, n.k., yeye anarahisisha tu mambo kienyeji enyeji!

A pea-sized brain inside a humongous head.
Tuna viongozi wa ajabu sana

Nimemkumbuka mzee wangu kandoro

Alikuwa akiongea anaongea na busara

Zote hakuwaga lopolopo

Hivi hawa viongozi,lopolopo wametokea wapi

Ova
 
Ujinga uliokujaa akilini ni mwingi,pumbavu ww , bother yule segregator mkuu wa apartheid ni mtu wa quote misemo yake .
Kabla ya colonisation na slavery ,hamna civilisation iliyokuwa imeendelea kama Afrika.
Kingdoms kama za mansa musa ,ambayo university ya kwanza duniani ilijengwa ilikuwepo africa .
Waafrika tuache kijidhalilisha
Ukweli mchungu huwa una kawaida ya kuchoma sana rohoni. Pieter W. Botha pia aliendelea kusema hivi;
" Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa watu weusi katika mchakato wa maendeleo ya nchi na Ujenzi wake kwa sababu hawana akili nzuri, endapo kama tungewajumuisha basi wangetuharibia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."

Je, kwa kauli hii hapa juu, sisi watu weusi leo hii tunaweza kuthibitisha kwamba P.W. Botha ni MUONGO???????????
 
Huyu mkuu wa mkoa nlikuwa namuona kama fyuzi imekatika,ila Kwa hili nafuta kauli.
Dar imejaa wapuuzi wengi mno wengi wao hawana kazi za maana,zaidi ya misheni town,madada wanauza nyapu kama nyanya,na wakishapata visenti wao ni kujipost wakijiita super women na kuwaondolea focus wa mikoani na kuwafanya kuitamani bongo.Dar imejaa Dar inanuka na mvua ikinyesha utadhani uko jalala Gani sijui.
Serikali ipitishe panga asiyehusika timulia mikoani wakalime maana mijitu ni mivivu
 
Back
Top Bottom