Unadhani kila mtu anaendekeza njaa kama Ndugai ,Yani huyo hata kama mama alikuwa anafikilia kumrudisha ndio basi amejichimbia kaburi
Shida ni kipimo cha Imani.Amekuwa ustadhi?!
Yaani ni kweli makamu anaweza kumroga Rais akadanja ili awe Rais yeye! Ujumbe umefikaa kwa wahusika!Hapa naona mtu kapigwa spana sema imezungukwa tuu.
Anamaanisho hichoAseme Tu kitu kilichofanyika march 17 last year anazunguka Sana
Yeye anaangalia tu cheo cha Urais hana habari na mambo ya uhuru wala haki za raia#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
View attachment 2070602