Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.

View attachment 2070602
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli huko CCM kuna mpasuko mkubwa kiasi hawaaminiani tena na ile ahadi kuwa kila muafrika ni ndugu yangu haipo tena.

AHADI 10 ZA MWANA CCM*

AHADI 10 ZA MWANA CCM* 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi ....
 
Ijapokuwa watu wanaweza kuona hana hoja lakini hoja ipo ingawa haihitaji Katiba mpya bali mabadiliko ya kawaida ya Katiba.
Inabidi kufanya mabadiliko ili Makamu wa Rais asiwe Rais moja kwa moja pale Rais aliyepo madarakani 'anaporogwa'. Hata akiwa Rais amalizie tu kipindi kilichobaki na ufanyike uchaguzi ili kupata Rais Mpya na yule Makamu aliemalizia kipindi cha urais asishiriki kamwe kwenye kinyanganyiro hicho..
Hii itazuia Makamu wa Rais 'kumroga' Rais ili achukue nafasi yake..😳
Watengeneza Katiba hawakuwa wameona kama inaweza kutokea Rais akafariki akiwa madarakani..
 
#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.

View attachment 2070602
Wakishapopolewa zinawarudi
 
Bado wanaamini kuna uchawi!
Ni swala la muda naye atalalamika walimnukuu vibaya!
 
#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.

View attachment 2070602
Vizuri bwana Chalamila, walau umejitokeza hadharani. Muda mrefu hujasikika
Pia, tunashukuru umekuja walau na msimamo tofauti kidogo kuhusu katiba mpya. Ila sasa mzazii... katika vitu vyote
Yeye anaangalia tu cheo cha Urais hana habari na mambo ya uhuru wala haki za raia
Cheo cha uraisi na risks za kulogwa, kweli aisifiye mvua imemnyeshea
 
Katika hili siamini. Samia wakati anapokea kijiti alikuwa very very innocent. Sema sasa anaanza kupoteza dira.
 
Aiseee
#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.

View attachment 2070602

1635543794199.jpg
 
Kwa hiyo Makamo wa Sasa ni mchawi Dah
 
Ijapokuwa watu wanaweza kuona hana hoja lakini hoja ipo ingawa haihitaji Katiba mpya bali mabadiliko ya kawaida ya Katiba.
Inabidi kufanya mabadiliko ili Makamu wa Rais asiwe Rais moja kwa moja pale Rais aliyepo madarakani 'anaporogwa'. Hata akiwa Rais amalizie tu kipindi kilichobaki na ufanyike uchaguzi ili kupata Rais Mpya na yule Makamu aliemalizia kipindi cha urais asishiriki kamwe kwenye kinyanganyiro hicho..
Hii itazuia Makamu wa Rais 'kumroga' Rais ili achukue nafasi yake..😳
Watengeneza Katiba hawakuwa wameona kama inaweza kutokea Rais akafariki akiwa madarakani..
Mkuu mimi nimepata bahati ya kufika nchi karibu 60 duniani.

Nilijifunza katiba nyingi wameweka hiko kipengele ili kuondoa matumizi makubwa ya fedha katika chaguzi lkn pia kuweza kumalizia kile ambacho Rais alikuwa ameplan.

Ni ngumu sana kwa Makamu wa Rais kumdhuru Rais hii ni kwa sababu, MAKAMU wa Rais hawi huru muda wote, simu zake ziko tracked nyakati zote, ulinzi anapewa na huyo Rais na mara zote hupewa watu ambao ni Royal kwa Rais.

Ni bora hiyo sheria iwepo kuliko, kufanya chaguzi kila uchao. NCHI zote za kidemokrasia hutumia njia hiyo ya Makamu wa Rais kushika kiti ikiwa Rais atashindwa kuendelea na majukumu yake. Haikuwekwa kwa bahati mbaya.
 
Alichotaka kusema ameshasema..kazi iko kwenye uelewa wako.

Neno uchawi ni kiwakilishi, likiwakilisha mbinu/njia yoyote atakayotumia mhusika yoyote mwenye azma hiyo.
Very smart...naona wengine wana ruka ruka tu na comment
 
Back
Top Bottom