Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
View attachment 2070602
Subiri ang'olewe kwenye kiti siku mbili nyingi atakwambia mbowe sio GaidiMbona hakusema kipindi akiwa RC? hata Ndugai ataanza kudai katiba mpya
Usitake kuleta taharuki hapa. Yeye anasema we need to reform a new national constitution, hayo mengine yakoAna maana Hangaya alimpiga juju JPM ili aukwae urais. Yaani huyu domo lake halinaga break,hata kama Samia alikuwa anamfikiria kumrudisha ndiyo amejiroga kabisa.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wakishapopolewa zinawarudi#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
View attachment 2070602
Vizuri bwana Chalamila, walau umejitokeza hadharani. Muda mrefu hujasikika#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
View attachment 2070602
Cheo cha uraisi na risks za kulogwa, kweli aisifiye mvua imemnyesheaYeye anaangalia tu cheo cha Urais hana habari na mambo ya uhuru wala haki za raia
#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
View attachment 2070602
Kwa hiyo Makamo wa Sasa ni mchawi Dah#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
View attachment 2070602
Ndiyo kinachokujaSubiri ang'olewe kwenye kiti siku mbili nyingi atakwambia mbowe sio Gaidi
Hana shida na cheo/madaraka, anashida na Katiba Mpya.Yani huyo hata kama mama alikuwa anafikilia kumrudisha ndio basi amejichimbia kaburi
Mkuu mimi nimepata bahati ya kufika nchi karibu 60 duniani.Ijapokuwa watu wanaweza kuona hana hoja lakini hoja ipo ingawa haihitaji Katiba mpya bali mabadiliko ya kawaida ya Katiba.
Inabidi kufanya mabadiliko ili Makamu wa Rais asiwe Rais moja kwa moja pale Rais aliyepo madarakani 'anaporogwa'. Hata akiwa Rais amalizie tu kipindi kilichobaki na ufanyike uchaguzi ili kupata Rais Mpya na yule Makamu aliemalizia kipindi cha urais asishiriki kamwe kwenye kinyanganyiro hicho..
Hii itazuia Makamu wa Rais 'kumroga' Rais ili achukue nafasi yake..😳
Watengeneza Katiba hawakuwa wameona kama inaweza kutokea Rais akafariki akiwa madarakani..
Very smart...naona wengine wana ruka ruka tu na commentAlichotaka kusema ameshasema..kazi iko kwenye uelewa wako.
Neno uchawi ni kiwakilishi, likiwakilisha mbinu/njia yoyote atakayotumia mhusika yoyote mwenye azma hiyo.