Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

Viongozi wa kiafrica huwa na akili wakishatoka madarakani
 
Mkiwa nje akili zinakaa sawa 😂😂

Kumbe katiba mpya ni muhimu

Ova
 
Viongozi wa kiafrica huwa na akili wakishatoka madarakani hii study ilifanyika UK
 
Wakuu huu msimu wa ulanzi iringa karibuni iringa!!
 
CCM akiwa nje ya mfumo akili inakuwa sawa.
Mfano , Pole pole, Bashiru, Kalemani, Ndugai, Chalamila akili zao zimeanza kufanya kazi
 
Taasisi iko kwa ajili ya nini zaidi ya usalama na economy? Hakuna Kazi ya kiongozi zaidi ya hizo mbili hapa Duniani..

Wenye akili wote wanajua alikuwa mpuuzi who was heading the nation towards the hell.

Wewe uliambiwa na nani kuwa una akili? Na alitumia kipimo gani kuipima akili yako?
 
Hao ni njaa hakuna kingine,hata hivyo hadi kesho waulize ccm kama wanataka Katiba mpya,hakuna atakaekubali kwa sababu itapunguza nafasi zao.
Ni hadi wawe nje pinda,mkapa, Lowasa,sumayi, Membe nk wote hawa walikuwa kwenye nafasi ya kuibadili katiba mpya walipokuwa kwenye mfumo na waliwashughulikia vilivyo waliodai katiba mpya,chek sasa baada ya kuwa nje ya maamuzi yaani nje ya kapu la shibe walidai katiba mpya.
Ile research ya UK ni sahihi "viongozi wa kiafrica huwa na akili wakishatoka madarakani".
 
Huyu nae eti alikuwa RC! Anaongea nini Sasa?
Bonge la point kaongea Mkuu, sema point ni ndefu ndefu zaidi ya kichwa na nywele zako, point imekupita juu fyaa kama ndege hivyo huwez elewa kilichomo.
Labda nikurahihisishie kuna neno "KATIBA MPYA" nalo hujaliona?
 
Bado wanaamini kuna uchawi!
Ni swala la muda naye atalalamika walimnukuu vibaya!
Na uchochezi unaoendelea kny mitandao😎Muda si muda , nimekosa mimi nimekosa sana
 
Kwa wale wapenzi wa siasa za matukio wanaburudika tu.
Ila huyu jamaa anapoint sehemu! Ndo maana wajuzi wa mambo walisema ipo siku wanaojua siri za JPM kufariki watafunguka mambo ndo hayo sasa!
 
Uchambuzi mdogo tu unaonesha hawa wanaomnanga Job wamepangwa wakapangika - Chalamila, Lusinde, Gwajima. Hawa wote ni stouch followers of late JPM na hao hao ndio wametumiwa kumnanga Job. This is what is called political science. Maneno haya yangesemwa na akina shaka yasingekuwa na impact kama sasa, na ndio maana yale makundi rasmi ya chama yalistopishwa kutoa matamko. Heko think tank ya chama. Hapa mmecheza kama pele.
 
Ina maana mama alimroga mzee Magu ? Sijuwi alikuwaje kiongozi mtu mwenye uwezo wa chini kiasi hiki. Uchawi upo na Mungu pia yupo ambae yuko juu zaidi ya wachawi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…