Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

Uchambuzi mdogo tu unaonesha hawa wanaomnanga Job wamepangwa wakapangika - Chalamila, Lusinde, Gwajima. Hawa wote ni stouch followers of late JPM na hao hao ndio wametumiwa kumnanga Job. This is what is called political science. Maneno haya yangesemwa na akina shaka yasingekuwa na impact kama sasa, na ndio maana yale makundi rasmi ya chama yalistopishwa kutoa matamko. Heko think tank ya chama. Hapa mmecheza kama pele.
Ngoja wampe mama mda wa kupanga safu.
 
Kwa sasa wananchi wanafuata anaetoa point wanamuunga mkono

Alianza gwaji akajaza wafuasi, akaja polepole akatoa point za maana akafuatwa na wafuasi kedekede, akaja slaa kutetea wabunge walipe kodi tukasema hewalaa tukajaa kwake ba kumsupport
Finaly akaja Spika kuponda mikopo hapo tukamuona mwananchi halisi

Sasa:-

Slaa akakana alichosema tukampuuza,
Speaker akakana alichosema tukampuuuza.


Tumebaki na

1. Gwaji
2. Pole pole
3. Na sasa The Don Chalamila
4.
5.
6.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
 
Robo 3 ya nchi zote duniani hutumia huo mfumo ila kupunguza gharama za uchaguzi kwa wananchi wake. Hana hoja ya msingi, ni chuki tu maana yuko benchi sasa.

Inakua ni kipindi cha mpito tu
 
bhangi mbaya sana....kuna watu unajiuliza waliwezaje hata kuwa na nyadhifa serikali....
 
🤔🤔🤔🤔🤔😳😳😳😳😳🤣🤣🤣🤣🤣
 
#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.

View attachment 2070602
Hahahahaaa! Yahani yeye ameona umuhimu wa katiba upo hapo kwenye umakamo wa urais tu
 
Back
Top Bottom