peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tatizo lako ni umri unakusumbuaNdio nakujibu wewe na wenzio kulingana na volume ya ujinga wenu kwenye kichwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako ni umri unakusumbuaNdio nakujibu wewe na wenzio kulingana na volume ya ujinga wenu kwenye kichwa.
Ngoja wampe mama mda wa kupanga safu.Uchambuzi mdogo tu unaonesha hawa wanaomnanga Job wamepangwa wakapangika - Chalamila, Lusinde, Gwajima. Hawa wote ni stouch followers of late JPM na hao hao ndio wametumiwa kumnanga Job. This is what is called political science. Maneno haya yangesemwa na akina shaka yasingekuwa na impact kama sasa, na ndio maana yale makundi rasmi ya chama yalistopishwa kutoa matamko. Heko think tank ya chama. Hapa mmecheza kama pele.
Kati ya kijana na Mzee nani anasumbuliwa na athari za Umri?Tatizo lako ni umri unakusumbua
Majibu unayo unayauliza tenaKati ya kijana na Mzee nani anasumbuliwa na Umri?
Unazeeka vibaya,kalee wajukuuMajibu unayo unayauliza tena
Natumia kipimo cha pumba zako
Hakuna Upinzani hapo, Chalamila ana Upinzani gani hata kama katumwa?Mama sasa upinzani anaupata kutoka katika chama chake mwenyewe
Kama huna ajira karibuUnazeeka vibaya,kalee wajukuu
Robo 3 ya nchi zote duniani hutumia huo mfumo ila kupunguza gharama za uchaguzi kwa wananchi wake. Hana hoja ya msingi, ni chuki tu maana yuko benchi sasa.
Sijawahi ona mtumishi wa umma mwenye uwezo mdpgo wa kufikiri kama weweHakuna Upinzani hapo, Chalamila ana Upinzani gani hata kama katumwa?
Kakwambia anataka?ashasema ndo kwaanza maisha yamemnyookea baada ya kutumbuliwaYaani huyo hata kama mama alikuwa anafikiria kumrudisha ndio basi amejichimbia kaburi
Hahahahaaa! Yahani yeye ameona umuhimu wa katiba upo hapo kwenye umakamo wa urais tu#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
View attachment 2070602
Dah hatari sana Mkuu....Hapa naona mtu kapigwa spana sema imezungukwa tuu.