Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,015
Kiufupi Chalamila anamaaniaha unachosema ukimsoma kiundani,Sio kumroga tu, anaweza hata akafanya yake ya wasiojulikana, ili apate urahisi, katiba ya hovyo?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiufupi Chalamila anamaaniaha unachosema ukimsoma kiundani,Sio kumroga tu, anaweza hata akafanya yake ya wasiojulikana, ili apate urahisi, katiba ya hovyo?!
Ninashauri kwa kauli hii’ Chalamila apatiwe PhD ya Udom. Amesema ukweli 100%
tungo tataDaaah!! Chalamila anataka kusema Rais wa awamu ya tano alilogwa na aliyekuwa makamu wake!!? Au mimi ndiyo sielewielewi namna alivyopiga turnover
Wewe kutokukubali haimaanishi ni ajenda mbaya! You are nothing!duh Uchaguzi tena, wala Katiba mpya sikubaliani nalo labda vipengele km Wasimamizi wa Uchaguzi , Matokeao ya Urais, lkn upya au Rais asiwe na Madaraka bado muda tujenge Nchi kwanza
Katika Uchaguzi unadhani Zitto au Lissu watamkaribia Mama
Mpango anayo nafasi kurudisha Warundi waliojificha kwenye Usukuma Ikulu.Aseme anachotaka kusema maana serikali haiamini hayo mazingara.
Kwa sababu limegusa ajenda ya Chama chako?Bonge la point kaongea Mkuu, sema point ni ndefu ndefu zaidi ya kichwa na nywele zako, point imekupita juu fyaa kama ndege hivyo huwez elewa kilichomo.
Labda nikurahihisishie kuna neno "KATIBA MPYA" nalo hujaliona?
[emoji16][emoji16][emoji16]yaani imebidi nicheke#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
View attachment 2070979
Ndio maana tunasema hata ile draft ya warioba & co ni takataka tu. Nafasi ya rais inapokuwa wazi twende kwenye uchaguzi.Kiufupi Chalamila anamaaniaha unachosema ukimsoma kiundani,
Kwahiyo aliyemroga ni aliyekuwa makamu au??Inshort Chalamila anamaanisha Jiwe alilogwa.
Samahani mkuu nina mke na watoto wote wananitegemea mimi.Kwahiyo aliyemroga ni aliyekuwa makamu au??
Jamaa anakuwaga na ujumbe mzuri ila wakukeraNimecheka sana yaani aah!! We acha tu.
Kwa kauli hii na nyingine nyingi zinazoungwa mkono na wanaCCM japo kwa chinichini, ni wazi kwamba Katiba Mpya ni hitaji la watanzania. Namuomba mama Samia afanye hima kumalizia mchakato wa Katiba ya Wananchi (Katiba ya Warioba) ✍️#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
Zaidi, soma:
Thread 'Chalamila akanusha uvumi ulioenea asema sitaki katiba mpya wala marekebisho ya katiba' CHALAMILA akanusha uvumi ulioenea asema sitaki katiba mpya wala marekebisho ya katiba
View attachment 2070979
Ndiyo maana yake (kwa mujibu wa Chalamila)Ina maana mama alimroga mtu?😎