abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Hebu soma bandiko lake hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo tuunganishe doti su tusubiri kwanza?Hebu soma bandiko lake hiliView attachment 2070915
Mimi nadhani kwa nchi zetu ni hatari sana. Ningetaka turudi kwenye uchaguzi wananchi waamue. Nchi zilizoendelea ni sawa lakini hapa kwetu kuna drawbacks nyingi. Yanayoendelea sasa hivi yamewafanya watu wengi washtuke. Kumbe makamu alikuwa hakubaliani na misimamo mingi tu ya rais wakati alikuwa anasema wako kiti kimoja?Chalamila kachanganyikiwa, Duniani kote kunakuwepo na Makamu
haya Katiba imuweke Mkuu wa Majeshi ndio tuseme hatamloga au kumdunga risasi ili ashike madaraka?
Ni kweli. Ynayotokea sasa hivi ni matokeo ya makosa ya nyuma.Chalamila mlipata nafasi mkashindwa kumshauri jiwe , mkabaki kusifia tu. Sasa mnakiona Cha mtema Kuni.
Mimi nadhani kwa nchi zetu ni hatari sana. Ningetaka turudi kwenye uchaguzi wananchi waamue. Nchi zilizoendelea ni sawa lakini hapa kwetu kuna drawbacks nyingi. Yanayoendelea sasa hivi yamewafanya watu wengi washtuke. Kumbe makamu alikuwa hakubaliani na misimamo mingi tu ya rais wakati alikuwa anasema wako kiti kimoja?
duh Uchaguzi tena, wala Katiba mpya sikubaliani nalo labda vipengele km Wasimamizi wa Uchaguzi , Matokeao ya Urais, lkn upya au Rais asiwe na Madaraka bado muda tujenge Nchi kwanzaMimi nadhani kwa nchi zetu ni hatari sana. Ningetaka turudi kwenye uchaguzi wananchi waamue. Nchi zilizoendelea ni sawa lakini hapa kwetu kuna drawbacks nyingi. Yanayoendelea sasa hivi yamewafanya watu wengi washtuke. Kumbe makamu alikuwa hakubaliani na misimamo mingi tu ya rais wakati alikuwa anasema wako kiti kimoja?
Maisha ya umama yamemshinda, kakata shauri,Yaani huyo hata kama mama alikuwa anafikiria kumrudisha ndio basi amejichimbia kaburi