The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
“Kuna vyombo vya habari vimetangaza kuwa kuna mahali kura zimepigwa kabla ya vituo kufunguliwa nimeshangaa kumbe kuna Uchawi kwenye Uchaguzi maana nimeshangaa kusikia huo muujiza wa watu kupiga kura kabla vituo havijafunguliwa"
Soma pia: Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura
"Uzushi huo upuuzeni vituo vimefunguliwa saa 2:00 asubuhi na Uchaguzi huu unafanyika wazi hakuna mahali kura zimepigwa kabla ya kituo kufunguliwa, niwakumbushe wananchi kuchukua hatua kwenda kwenye vituo vya kupigia kura tuweze kutimiza haki yetu ya kikatiba" - Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.