LGE2024 Chalamila: Kwa atakayetishia usalama siku ya uchaguzi tutamnyakua na hatokuwa salama

LGE2024 Chalamila: Kwa atakayetishia usalama siku ya uchaguzi tutamnyakua na hatokuwa salama

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza jijini Dar es salaam kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mnamo mwezi Novemba 27, 2024 amesema hali ya usalama mkoa wa Dar es salaam ipo vizuri na mtu yeyote atakayejaribu kuharibu amani iliyo siku ya uchaguzi hatoachwa salama na atanyakuliwa ili kuwa nafasi watu wengine kufanya majukumu yao.

Soma pia: Chalamila aliagiza Jeshi La Polisi kuwashughulikia wananchi watakaopinga matokeo ya Uchaguzi ujao wa Serikali Za Mitaa


 
"Watamnyakuwa" maana yake watamteka. ,RC anachochea utekaji huyu.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza jijini Dar es salaam kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mnamo mwezi Novemba 27, 2024 amesema hali ya usalama mkoa wa Dar es salaam ipo vizuri na mtu yeyote atakayejaribu kuharibu amani iliyo siku ya uchaguzi hatoachwa salama na atanyakuliwa ili kuwa nafasi watu wengine kufanya majukumu yao​

View attachment 3161269
Kwa kauli za aina hiyo kutolewa pasipo sababu wala ulazima iadhihirisha kwamba matatizo kuanzia ya kiuchumi, rushwa, mauaji, utekaji na vurugu nyingine hutengenezwa na wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom