Chalamila laana inaendelea kumtafuna

Chalamila laana inaendelea kumtafuna

Hili jamaa kumbe ni utoto ndio uliokuwa unamsumbua,liliamini jiwe ndio Mungu muumba wa kila kitu katika ulimwengu huu.
 
Waliobeza huu uzi,,, Leo sijui watasemaje....Bro kala teuzi anaendelea kulamba Asali...

This is Life...

Respect the rank,,, not a Man
 
Chalamila aka Chala boy, watu wajamii ile huwa wanachelewa sana kufa.

Jamii inapaswa kuwa na watu namna ile ili maisha yaende mbele.
 
Haya mambo hautakiwi kuwa nyumbu unayeshangilia hovyo hovyo.

Kuna kuumbuka.
 
Back
Top Bottom