super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,057
- 825
Chalamila again.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie Askari wake kadungwa kisu na hakuna kitu wamechukuaWakuu,
Wanasema watu wanajiteka huku hamna tishio lolote nchini la watu kujiteka! CCM mnataka kuzidisha watu hasira zaidi ya hivi hali ilivyo sasa!
View attachment 3116922
tatizo hakuna vigezo vya msingi vinavyo tumika kuteua watu hawana kuwa wakuu wa mikoa na Wilaya, wana angalia kwamba MTU ameitumikia kwa kiwango gani ccm, huyu alikua Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Iringa kabla ya kuteuliwa kuwa RC, lakini katika matukio tofauti amekua akitoa kauli tatanishi kama comedian badala ya kuwa kiongozi. Sasa kama watu wanajiteka, si wakamatwe tuone huo mfano wa watu waliojiteka!? Watu walio tekwa kwa siku za karibuni wapo mfano Sativa,alitekwa akapelekwa Polisi Oysterbay kisha Arusha halafu Katavi mbugani kabla ya kupigwa risasi, Mzee Kibao alitekwa kutoka kwenye Bus kisha kuuawa, huyo RC naye atusaidie kutuonyesha mifano ya watu 3 tu ambao wanajiteka !Wakuu,
Wanasema watu wanajiteka huku hamna tishio lolote nchini la watu kujiteka! CCM mnataka kuzidisha watu hasira zaidi ya hivi hali ilivyo sasa!
View attachment 3116922