Pre GE2025 Chalamila: Sina taarifa za maandamano, atakayejifanya takataka naye atabebwa siku hiyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kweli kabisa, na huu mlipuko wa kipindupindu, chadema wazagae barabarani wanakula maembe na maparachichi yaliyoiva bila kuyaosha, lazima watapata kipindupindu.

Lazima serikali iwalinde wananchi dhidi ya wanasiasa uchwara wanaotaka wananchi wafe ili kutimiza malengo yao ya kisiasa.

Sasa sijui aliposema wanaojifanya takataka alimaanisha Mdude Nyagali? Maana vitu vyake vikikutwa na gari la taka, wasipokuwa makini wanavibeba.
 
Huyo mburula siku zote ameshindwa kufanya usafi kabambe ila tarehe ya maandamano ya chade,a ameona ndiyo siku inayofaa?
 
Chadema waliomba kibali cha maandamano na wakagewa?
 
Huyu MWAMBA Huwa namkubali sana ,Huwa hapokeshi ananyooosha πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa ndipo nimekuja kuiielewa serikali ya nchi yangu kwanini asilimia kubwa huko kwenye majeshi wanajaza mbumbumbu.
 
Mpumbavu walikuwepo wenye kiburi zaidi yake ila waliufyata kimya kimya wakaondoka. Nani anamkumbuka Magesa Mulongo na kiburi chake?. Yetu macho tu.
Loh! Usinikumbushe!! Hali ya Magesa Mulongo ni ya kutia huruma. Kwa sasa, hali ya huyo bwana ni aheri ya muuza genge la nyanya ana uhakika wa maisha kuliko yeye.

Nina uhakika ukimpa hata kibarua cha kulipwa 20,000 kwa siku, hana ujanja wa kukataa.
 
Uandishi wa hovyo kabisa!!

Hebu Rudi kwanza kwenye kichwa Cha habari kisha uisome tena taarifa yako
 
Siku hiyo nitanunua ndizi na kula mbele ya wajeda then nitatupa barabarani ili wao waokote Mana ndiyo kazi yao fo zati deyi!
 
wazolewe wakiwa wamelegezwa na virungu vuzuri sana kwanza πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…