Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
sasa gentleman,
Kichwa kitunguu huyuKichwa maji kabisaaaa
Kwani pesa ndio inamfanya mtu kuoa? Kama ni hivyo kwanini matajiri wengi ndoa zao zina migogoro? Na wengine wake zao wanachepukia wauza karanga, bodoboda?Wakuu
Mnasemaje kuhusu hili la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam?
Anasema hata kama dini inaruhusu kuongeza mke wa pili basi waoaji wanatakiwa kupeleka bank statement, kujua pesa ipo?
Inamdhuru? Hilo vazi la waislam. Ukivaa hivyo jua halikupigi na akili ina charge hasaTangu ameanza kuvaa barakashia, network hazisomani