Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
Jiji la Dar kwa sasa kila sehemu kumechimbuliwa kwa kweli hali ya usafiri ni mbaya sana!
sasa huyu Msando amekuja kukugombanisha na wana Dar es salaama kwa kusingizia wanatanua barabara wanaleta foleni! Huyu anatafta kiki utolewe wewe ili yeye akae hapo aonekane ndio mchapa kazi! ni kwa kuwa ataingia katika dhukuma ya kukamata madereva weeeengi ili walaipe faini aonekane analeta mapato kumbe anagombanisha wapiga kura wa CCM
jiulize je ushawahi kuona foleni kutokea kimara mpaka kibaha? Je
njia ya Mbagala kutoka posta ina foleni? hakuna kwa kuwa barabara inapitika kirahisi! hizi zilizochimbuliwa kila mahali ndio tatizo.
Sasa jiangalie wewe CHALAMILA! komaa barabara zipitike kwa wakati kataa dhuluma za kuonea madereva! nyie VIONGOZI ndio mnaongoza kutanua halafu mnataka kulalia walala hoi ili mpate hela za kujengea migorofa kupitia dhulma