Pre GE2025 Chalamila: Waliojenga Stendi ya Mwendokasi Jangwani walitakiwa kuchapwa viboko

Pre GE2025 Chalamila: Waliojenga Stendi ya Mwendokasi Jangwani walitakiwa kuchapwa viboko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Akiwa katika muendelezo wa kusikiliza kero za ananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndg. Abert Chalamila akiwa Wilaya ya Ilala aliwaambia wananchi waliojenga stendi ya mwedokasi jangwani wanastahili kuchapwa viboko.

Ikumbukwe pia Chalamila aliwahi kutoa kauli inayofanana na hii mapema mwaka huu ambapo alisema waliojenga mwendokasi jangwani ni wajina na anashangaa kwanini wanapumua mpaka sasa.

=====

Pia soma: Waliojenga stendi ya mwendokasi Jangwani hawakuwa na akili, nitashangaa kama bado wanapumua
 
Nendeni bandari ya Kigoma Ujiji,imezama kwenye maji pia. Waliojenga walisahau kuwa wanajenga eneo la ziwa. Kamata wote
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Nendeni bandari ya Kigoma Ujiji,imezama kwenye maji pia. Waliojenga walisahau kuwa wanajenga eneo la ziwa. Kamata wote
Vipi hapo station ya treni penyewe hapajamezwa na maji?.

Vipi lile soko la dagaa kibirizi linaelea juu ya maji?.
Poleni sana waTanganyika
 
Serikali ndio iliyotoa vibali na ruhusa zote kujenga hapo...kweli CCM ni vilaza
 
Vipi hapo station ya treni penyewe hapajamezwa na maji?.

Vipi lile soko la dagaa kibirizi linaelea juu ya maji?.
Poleni sana waTanganyika
Station kuna nafuuu kubwa,maji huyaoni ukitembelea pale
 
  • Thanks
Reactions: K11
Hv hzo kero wanazosikilizaga Kila cku Huwa wanazifanyia utatuzi kwel
 
Vipi hapo station ya treni penyewe hapajamezwa na maji?.

Vipi lile soko la dagaa kibirizi linaelea juu ya maji?.
Poleni sana waTanganyika
Asante kwa pole yako mkuu. Tuna watu wanaojiita wataalamu lakini when it comes to results on what they do ni poor kabisa na wqla hawajishtukii wapo tu ofisini wakipeana tano na kukenua meno na wenye uwezo wa kuwamonitor na kupima performances zao ndio wapeana madili dah 😩😩
Tutamkumbuka mwendazake katika uwajibikaji.
 
Back
Top Bottom