kitowowoti
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 756
- 510
J.K hakuwa Injinia,labda ni yule mutu ya vyeti fake š¤„Kwa hiyo serikali ya JK na JK mwenyewe wachapwe viboko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
J.K hakuwa Injinia,labda ni yule mutu ya vyeti fake š¤„Kwa hiyo serikali ya JK na JK mwenyewe wachapwe viboko?
Nenda kaipige kaburi lake Chato. Yeye ndiye aliyekuwa Waziri wa Ujenzi 2010-15.Akiwa katika muendelezo wa kusikiliza kero za ananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndg. Abert Chalamila akiwa Wilaya ya Ilala aliwaambia wananchi waliojenga stendi ya mwedokasi jangwani wanastahili kuchapwa viboko
View attachment 3003334
=====
Pia soma: Waliojenga stendi ya mwendokasi Jangwani hawakuwa na akili, nitashangaa kama bado wanapumua