K kitowowoti JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 756 Reaction score 510 May 30, 2024 #21 K11 said: Kwa hiyo serikali ya JK na JK mwenyewe wachapwe viboko? Click to expand... J.K hakuwa Injinia,labda ni yule mutu ya vyeti fake 🤥
K11 said: Kwa hiyo serikali ya JK na JK mwenyewe wachapwe viboko? Click to expand... J.K hakuwa Injinia,labda ni yule mutu ya vyeti fake 🤥
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 May 30, 2024 #22 Mambo ya ajabu sana
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 May 30, 2024 #23 Kwamba uongo wao una maji...tena yatakuwa maji machafu ya mvua!
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 May 30, 2024 #24 Kwa hivyo ndio imeishia hapo
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 May 30, 2024 #25 Kwanini asiwaulize serikali yake Wao ndiyo wahusika wakuu Na kama kuwachapa viboko Awachape hao hao Ova
Kwanini asiwaulize serikali yake Wao ndiyo wahusika wakuu Na kama kuwachapa viboko Awachape hao hao Ova
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 May 30, 2024 #26 Cute Wife said: Akiwa katika muendelezo wa kusikiliza kero za ananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndg. Abert Chalamila akiwa Wilaya ya Ilala aliwaambia wananchi waliojenga stendi ya mwedokasi jangwani wanastahili kuchapwa viboko View attachment 3003334 ===== Pia soma: Waliojenga stendi ya mwendokasi Jangwani hawakuwa na akili, nitashangaa kama bado wanapumua Click to expand... Nenda kaipige kaburi lake Chato. Yeye ndiye aliyekuwa Waziri wa Ujenzi 2010-15.
Cute Wife said: Akiwa katika muendelezo wa kusikiliza kero za ananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndg. Abert Chalamila akiwa Wilaya ya Ilala aliwaambia wananchi waliojenga stendi ya mwedokasi jangwani wanastahili kuchapwa viboko View attachment 3003334 ===== Pia soma: Waliojenga stendi ya mwendokasi Jangwani hawakuwa na akili, nitashangaa kama bado wanapumua Click to expand... Nenda kaipige kaburi lake Chato. Yeye ndiye aliyekuwa Waziri wa Ujenzi 2010-15.