Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Watupe hayp magari waliyonunua kwa kodi zetu waone. Mimi naomba lile la AbdulKumbe huwa mnakereka watu wakisema ni kodi zao!😁
Hiyo ndiyo wheelchair ya waoga.
Sawa jasiri mpita njia tukutane OctoberHiyo ndiyo wheelchair ya waoga.
Unahubiri amani Huku shina lake umelipiga kiberiti.Sawa jasiri mpita njia tukutane October