Chalamila: Zile Kampuni za kukamata "Wrong Parking" lile ni genge la rushwa

Chalamila: Zile Kampuni za kukamata "Wrong Parking" lile ni genge la rushwa

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

TANROADS na kwa TARURA na Jiji ukienda katika mataifa yote, Dar kwa mfano, kuna zile kampuni za kukamata rwong parking, zile kampuni sijui kama mmeshawahi kujua wanachopata wao na mnachopata nyie, lile ni genge la rushwa, ni kubwa sana, vibaka na watu ambao hawahusiani ndio wanaendeleza hizo kazi.

Mfano Kariakoo, tumewekeza maduka kwenye nyumba za National housing, hivi mmewahi kujiuliza hao wenye maduka wakija na magari watapaki wapi? Nadhani sasa ni muda wa kufikiria kuwekeza hata kwenye parking za kwenda Juu, tukiwa na Parking Karikaoo yote na Posta, ni rahisi hata kumwambia mtu umepaki vibaya ila hakuna parking wenye magari wapaki wapi.

Pia soma:
 

TANROADS na kwa TARURA na Jiji ukienda katika mataifa yote, Dar kwa mfano, kuna zile kampuni za kukamata rwong parking, zile kampuni sijui kama mmeshawahi kujua wanachopata wao na mnachopata nyie, lile ni genge la rushwa, ni kubwa sana, vibaka na watu ambao hawahusiani ndio wanaendeleza hizo kazi.
Sometimes hata saa mbovu husoma sahihi
 
Changamoto kubwa ni ujenzi holela na kutojua viwango kwa ajili ya barabara.
Elimu itolewe hata kama siyo rasmi kwa viongozi, wataalamu, wakandarasi na wananchi kwa ujumla hasa sehemu ambazo hazina mipango miji, upana wa eneo la barabara usipungue mita zifuatazo;

1. Barabara za mitaa ya makazi 12
2. Barabara za kawaida 18
3. Barabara kuu 36

Bila kuanzia huku, kero za kukosa magesho na kuibuka kwa magenge ya rushwa hazitakwisha.
 
Watu wa parking ni wezi tu
 
Back
Top Bottom