"Kero za wananchi zitatuliwe, tukija huko tukakutana na mabango, kero za wananchi, bango 1 DC na DED unakwenda" - @SuluhuSamia, April 2021
"Nawakaribisha katika ziara ya siku 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan, kama una bango lolote hata la matusi, tafadhali, njoo nalo" Albert Chalamila, June 2021