maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,415
- 3,213
Asalaam Aleykum!
Wakuu kwanza kabisa napenda kuwafahamisha kwamba kwasasa Chalinze imeshakuwa wilaya, ujenzi wa makao makuu ya wilaya umeshaanza pamoja na stendi kubwa ya magari ya abiria ambayo itaipandisha hadhi wilaya ya Chalinze.
Pia kuna viwanda ambavyo vimeshaanza kufanya kazi, kuna kiwanda cha Sayona maeneo ya Mboga pia kuna kiwanda cha Tiles cha Twyford. Kitaalamu eneo la Chalinze ni strategic kwani ni njia panda na uwepo kambi mbili za jeshi na magereza pamoja na shule nyingi za msingi pamoja na sekondari pembeni kidogo ya mji wa Chalinze kunafanya mzunguko wa pesa kuwa mkubwa hivyo sekta ya biashara inapata msukumo unaostahili.
Binafsi sehemu ya maisha yangu ni Chalinze na mpaka sasa nina viwanja vitatu, viwili vikiwa pale pale mjini na kimoja pembeni kidogo.Kwakifupi Chalinze ni eneo zuri kwakuishi pamoja na kufanya uwekezaji hasahasa kwa wajasiriamali wadogo na wakati.
NB: Mimi ni mwenyeji na mkazi wa kudumu wa Chalinze ila niko Dar es salaam kikazi. Mawasiliano ni PM kwasababu za kiusalama, hapa hakuna utapeli. Bei ni kuanzia milioni mbili na nusu(2.5M)kwa maeneo ya mjini na Milioni moja kwa maeneo ya pembezoni (1M)