For sure ...Ni bonge la Idea ...afu pia Ujio wa Bandari kavu pale Vigwaza unaweza saidia sana kupunguza hii misongamano ya Dsm
Umbali kutoka Vigwaza to chalinze ni 37km ... so mizigo yote ikiwa inapokelewa vigwaza ...tutapunguza sana misongamano na pia itachangia kukua kwa chalinze na mkoa wa pwani kwa ujumla
Nimechukua viwanja vitatu vilivyoungana hapo chalinze Pingo karibu na kiwanda cha Typhoid tiles .. Umbali wa 1.5km kutoka Main Road ..najua kwa baadaye vitakua na manufaa sana
Sent using
Jamii Forums mobile app