Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Mzuka wana Jamvi ?
Yerereeeeeerreereerreereyere!!!
Sijitaji maelezo mengi picha inajieleza , nataka maoni yako unaonaje ?View attachment 3342319
Oyo : Sitaki Wadada wa Jf mnitafute PM , Mimi nipo kwenye No Fap challenge
Oya umeitoa wapi hii ?
Kosa langu liko wapi wakati Mimi kidume au kusema ukweli kama hensamu ni makosa ?Kaolewe uzae sasa
Ila nikitumia bange sura yangu inabadilika inakuwa ngumu kama Mgerasi Semenya wa Ukaldayo The Mongolian SavageBabu kama wewe unahati miliki zakujiita handsome na huo ndio muonekano wako!, basi mimi nina leseni,kitambulisho,cheo na nina PhD ya u handsome!..
wewe hilo uso peleka kwenye mashindano ya vichekesho...😂
Mimi kama Muhadzabe mkuu nipo KihardcoolSasa hv sio watoto wa kike tu hats wa kiume walindwe aiseee