Challenge accepted: Hakuna anayenipita kwa Uhensamu JF nzima

Hapa umenikomesha naomba mods wafunge Uzi .

Nisamehe samahani kwa usumbufu bange si kitu kizuri wakuu, Mimi Maghayo The Mongolian Savage kuanzia Leo sitotumia bange tena , kwa wote niliowakwaza naomba tusamehane huku ni kukosa kazi na ni uvivu wa kulima tu.
 
Babu kama wewe unahati miliki zakujiita handsome na huo ndio muonekano wako!, basi mimi nina leseni,kitambulisho,cheo na nina PhD ya u handsome!..
wewe hilo uso peleka kwenye mashindano ya vichekesho...😂
Kaka leo umetuamulia wazee😆
 
leo sitaki kuona mvi...😂
Vijana wenyewe ndio nyie , kuhonga pesa ndogo tu mnalia lia ? Wazee tukigoma kuhonga tunasema hapana sikupi pesa kwa sasa , sio nyie eti kuna issue naisikilizia mliona wap kanyau ka bure🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…