Challenge: Andika namba mbili za mwisho za mwaka wako wa kuzaliwa

Challenge: Andika namba mbili za mwisho za mwaka wako wa kuzaliwa

Mbona iyo step imechakaaa ivyo as if chet kilikuwa chini ya kitanda
Hapo tena sema imechakaa
IMG_20230406_031458.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We dogo ambaye sifuatiliwi nafanya maamuzi yangu si ulizwi chochote unadiriki kuniita dogo weee sipo shule mkuuu nipo uraiani

[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe kizeee
 
African dont sleep wake up

Tuanze hii challenge una andika namba mbili za mwisho wa mwaka wako wa kuzaliwa mpaka umapate mdogo wako au kaka yako au dada yako au mchumba wako

Naanza mimi 06

Usiandike mwaka wako ulio zaliwa full mfano 1980 hii aitakiwi
Haya mambo yenu nyie ma teenager mnataka na sisi baba zenu tuyafanye, chakula na ada tutawatafutieni saa ngapi?
 
Back
Top Bottom