Challenge Cup: Kilimanjaro Queens yaitandika Uganda 4-1 na kuingia fainali

Challenge Cup: Kilimanjaro Queens yaitandika Uganda 4-1 na kuingia fainali

Chamburuma alishastaafu soka hasa kuchezea timu ya Taifa na kwa hakika walimuandalia mechi rasmi ya kumuaga kwa mchango wake kwa taifa lake!
 
Timu ya taifa ya Tanganyika imefanikiwa kuchukua ubingwa leo kwa kuwafunga Kenya mabao 2-1!
 
Back
Top Bottom