Bunchari
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 558
- 661
Habari wakuu,hamjambo?
Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa.
Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia hali ya kuomba kuunganishwa na muumba wake kwaajili ya ufanisi wa kazi anakua amepitia changamoto gani?
Nawasilisha.