Bunchari
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 558
- 661
- Thread starter
- #41
Kuna umuhimu wa kusaidiwa majukumu, sio?
KITI Cha ubunge, uwaziri, utendaji, ukurugenzi, UCEO ni KITI KIMOJA.
Bt wananakalia KITI hichi hicho tangu uhuru ni watu tofauti tofauti.
Pia KITI kina maelekezo yake ambayo yaeza kuwa ni tofauti na maono ya mkalia KITI au maono ya wa walomtuma mkalia KITI.
Hadi kufikia hapo, huoni IPO haja ya mkalia KITI kuombewa?