Hili swali litapata majibu sahihi kama hatutabahatika kumpata angalao mmoja wa wahusika wakuu kweli🤔Habari wakuu,hamjambo?
Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa.
Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia hali ya kuomba kuunganishwa na muumba wake kwaajili ya ufanisi wa kazi anakua amepitia changamoto gani?
Nawasilisha.
Ila kuna kitu alifanya ktk uongozi wake au hamna?Jiwe alikuwa mtafuta umaarufu ubwete. Alitafuta sifa kwa gharama yoyote ile.
Alikuwa anaiba huku akijiliza hadharani, yaani alitaka tumuamini huku akituibia.
Na ili tumpe Imani kubwa alijifanya kuwa karibu sana na Mungu lkn kumbe siyo kweli.
Hakuna. Sana sana alitaka kuiua nchi kabisaIla kuna kitu alifanya ktk uongozi wake au hamna?
Kuna raia kweli anaweza kusimama ili kuomba katiba mpya?Kukiwa na Katiba mpya nzuri ya Wananchi taasisi zikawa imara hakuna haja ya maombi kwa raisi.
Kwasababu Katiba hii inamfanya raisi kuwa Sultani na kumtwisha kazi zote ndio maana huwa wanasema waombewe.
Chadema tumesimama imara kutaka Katiba mpya.Kuna raia kweli anaweza kusimama ili kuomba katiba mpya?
Alikuwa mnafiq. Huku mtaani anatukanatukana ovyo, jumapili anaenda kukaa madhabahuni mstari wa mbele, akiigiza unyenyekevu. Alikuwa chui aliyevaa ngozi ya kondoo.Angekuwepo Jiwe tungemuuliza nn kilimfanya kuomba kuombewa!! Au wazee wa legacy wana la kusema?
Ahaha alikua Hana mambo ya kubembelezana na mtu, ilifikia mahali watu wakaogopa kuiba pesa ya umma.Alikuwa mnafiq. Huku mtaani anatukanatukana ovyo, jumapili anaenda kukaa madhabahuni mstari wa mbele, akiigiza unyenyekevu. Alikuwa chui aliyevaa ngozi ya kondoo.
Sio waache wizi warudishe mali walizoiba.Kama Ni hivyo waombewe wanaoiba ili waache na sio yeye
Kitendo cha kusema aombewe ni taarifa kuwa anakabiliwa na magumu ambayo ni hatari kwake na kwamba maombi pekee ndo njia ya kuepuka hatari.Habari wakuu,hamjambo?
Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa.
Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia hali ya kuomba kuunganishwa na muumba wake kwaajili ya ufanisi wa kazi anakua amepitia changamoto gani?
Nawasilisha.
Ahaha alikua Hana mambo ya kubembelezana na mtu,ilifikia mahali watu wakaogopa kuiba pesa ya umma.