Challenge gani umfanya mkuu wa nchi kujitokeza public ili kuomba kuombewa?

Kuna umuhimu wa kusaidiwa majukumu, sio?
 
Nimekuelewa vizuri sana!! Lakini yataka moyo sana kuwaombea wale waliomo kwenye maraha ya dunia while wengi wanasulubika! Lakini nimekuelewa πŸ™
 
Nimekuelewa vizuri sana !! Lakini yataka moyo sana kuwaombea wale waliomo kwenye maraha ya dunia while wengi wanasulubika ! Lakini nimekuelewa πŸ™
Mungu Huwa anatenda tofauti na WANADAMU,

Ameagiza tuwaombee adui na wanaotuudhi. Anasema pia tuwasamehe waliotuumiza.

Ukimlaani mwovu unambariki na hataacha UOVU, bt ukimsamehe na kuachilia Kwa aliyekuumiza Mungu hufanya indirect, hatamsamehe hushughulika naye HARAKA sana kukulipizia KISASI, maana KISASI ni Kwa Mungu.

Yeye huukumu Kwa HAKI.
 
Hii kitu hii πŸ€”πŸ€”
 
Ukitaka kupigana na wezi uwe umejipanga ,maana Kwa hulka binadamu wengi ni waovu na wachache ndio wema.
 
Ni kweli kabisa lakini nimefuatilia sana habari za Marekani Uk France na nchi zingine kama hizo sijawahi kusikia wakubwa wakiomba kwa wananchi wao wawaombee ! Au inawezekana wale jamaa hawana dini !! Lakini huku kwetu hata Meli iliyotengenezwa kwa ajili ya kupakia watu 500 kisha kwa tamaa za wahusika wakaamua kupakia watu 1000 na baadaye Meli hiyo ikazama na watu kupoteza maisha huwa tumezowea kusema Mungu alipanga itokee hivyo !! Siku zote wahusika wa matatizo huwa wanapenda kutoa majibu mepesi katika maswali magumu yanayohusu Uwajibikaji wao !! Kwa wenzetu huwezi kusikia hii kitu. !
 
Jibu ni Rahisi,

Ulaya Serikali wamekataa Mungu. Ndiyomaana unaona wanahalalisha Machukizo.

Uwajibikaji uendelee, na Maombi yaendelee.

Kila kimoja kina nafasi yake.
 
Umemtaja Mbowe lakini mimi kwanza sina chama japo zamani nilikuwa TANU ya Mwalimu! Kwa sasa mimi ni neutral sina chama πŸ˜…πŸ™. Ninaamini hata yeye ni walewale tu !!
 
Umemtaja Mbowe lakini mimi kwanza sina chama japo zamani nilikuwa TANU ya Mwalimu! Kwa sasa mimi ni neutral sina chama πŸ˜…πŸ™. Ninaamini hata yeye ni walewale tu !!
Mimi pia Sina chama.

Ila nafuatilia Kwa makini siasa za Nchi yangu, maana siasa ni Kila kitu katika maisha ya Watanzania.
 
Mimi pia Sina chama.

Ila nafuatilia Kwa makini siasa za Nchi yangu, maana siasa ni Kila kitu katika maisha ya Watanzania.
Siasa ni maisha ndio maana tunajaribu kuchangia mada hapa jf !
 
Nijuavyo Mimi kila mtu uombewa hata hasipo omba kuombewa.Hivyo ni vitu vya kawaida sana, Kwa dini zote
Na wenzetu wangekua wanaamini sana maelekezo ya dini zetu naamini hata hayo mapigaji ya pesa za umma yangeogopa kupiga pesa zetu !
 
si wajiombee wao kwa wao.kuna mtu aliyewasukuma kuomba nafasi hizo kama wanaona zina challenge si wajiuzuru?
 
Nijuavyo Mimi kila mtu uombewa hata hasipo omba kuombewa.Hivyo ni vitu vya kawaida sana, Kwa dini zote
Nadhani kiongozi anapaswa kuombewa pale tu ambapo anapambana na rushwa,ufisadi pamoja na matumizi mabaya ya pesa za umma tofauti na hapo,hakuna umuhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…