Challenge: Tunga sentensi inayomalizia na “aaah”

Cassnzoba

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2022
Posts
3,661
Reaction score
6,913
Wakuu leo weekend, turelax na threads kama hizi za kujiliwaza akili...

Naanza mimi,
Kuview comments tu,kulike aaaah
Kuingia jf tu, kanisani aaah

Nawakaribisha na nyie katika challenge hii ya kufikiriaaa👇👇👇👇 shusheni tungo zenu apochini
 
Kufanikiwa wewe tu, wakifanikiwa wenzio aaah
 
Anza wewe.....
 
Badala wamjadili Joyce wao aaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…