CHALLENGE: Uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi unapata zawadi

CHALLENGE: Uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi unapata zawadi

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Jamani tuchangamshe ubongo kidogo, uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi kuna zawadi ya vocha unapata. Kwahiyo jitahidi kuuliza maswali rahisi ili watu wakupe majibu sahihi, wakikosa ujue nawewe umekosa vocha.

Naanza mimi kuuliza;
๐—•๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ?
 
Macho mawili na ya aina mbili macho ya rohoni na macho ya kawaida ya kuona yasiyoonekana
 
Back
Top Bottom