Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

Atakaereply komenti yangu yeye ni Bata..😎
 
Vocha ya elfu kumi ndio imefanya huu uzi ukatemhea namna hii?

Matajiri wa jf wanaparangania Tsh 10,000 [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu siyo kwamba watu hawana hizo elfu kumi sometimes watu wana have fun tu siyo kila siku tunakutana na mada serious za kuumiza vichwa kuhusu siasa na mapenzi. Tuwaache watu warefresh tu binafsi nimefurahi sana kwa hizi comments. [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpaka sasa Naona mambo ni bila bila
Tukazane huenda bingwa akawepo Who know 😀😀😀
 
Mkuu siyo kwamba watu hawana hizo elfu kumi sometimes watu wana have fun tu siyo kila siku tunakutana na mada serious za kuumiza vichwa kuhusu siasa na mapenzi. Tuwaache watu warefresh tu binafsi nimefurahi sana kwa hizi comments. [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli kabisaaa mkuu
 
Back
Top Bottom