Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

Wakuu,

Hapa tufanye challenge kidogo, ambaye comment yake haitokuwa na reply kwa siku nzima atapata vocha ya 10k. Sitanii

Twende kazi
nb. mpaka sasa sijaona reply empty bila kupata reply ya nyenzake..
Kumbuka reply iliyomaliza 24 hours bila reply nyenzake basi ndio bingwa wetu..
💪💪💪💪
Ni nini dhamira ya 'challenge' hii? Kinyume chake ningekielewa: mchekecho wa yule anayepata comments nyingi zaidi.
 
Back
Top Bottom