finest hiyo signature yako ndo inasomeka vipi?
ni dakika ya 52, dakika ya 50 kulitokea na kutokuelewana kati ya wachezaji wa timu zote mbili imepelekea mchezaji wa ivory coast jezi 14 kupewa kadi ya njano..
haswaa ila wana shambuliana kweli...kwahiyo ngoma bado mbichi
unatoa kwa gy na bigirita unahamishia kwa teamo, finest ana keep flame kwenye relationship, halafu una break heart
What does it mean?
mi naona kama ni tungo tata vile....unatoa kwa gy na bigirita unahamishia kwa teamo, finest ana keep flame kwenye relationship, halafu una break heart
mi naona kama ni tungo tata vile....
mi naona kama ni tungo tata vile....
waswahili wanajuana kwa vilemba.......
hureee.......kily stars ndo wanaingia
dk ni 67 mambo bado droo
tanganyika (kilimanjaro stars) wanaingia game la pili - baada ya hii mechi
dakika ya 69 ivory coast 0 ethiopia 0.