Challenge ya 2011; matches na results

Challenge ya 2011; matches na results

dakika ya 42, wa-Ethiopia wanaonekana kuwazidi wa-Ivory Coast...
 
ni dakika ya 52, dakika ya 50 kulitokea na kutokuelewana kati ya wachezaji wa timu zote mbili imepelekea mchezaji wa Ivory Coast jezi 14 kupewa kadi ya njano..
 
Tanganyika (Kilimanjaro Stars) wanaingia game la pili - baada ya hii mechi
 
Back
Top Bottom