Challenge ya 2011; matches na results

Dakika ya 71

Ivory Coast wanapata bao (Kiprecheche Jezi No 7)

Ivory Coast 1 0 Ethiopia
 
Gooooooaaal.Dakika ya 72 Kibre Cheche anawapatia Ivory Coast goli. Ivory Coast 1 Ethiopia 0. Duh! Ethiopia nao wamekosa goli la wazi. Mpambano ni mkali kwelikweli.
 
Dk ya 92 mabao bado ni yale yale
dalili za wahabeshi kutolewa zipo wazi
Tunasubiia walume ndago wa Stars
Sijui wataifanya wiki end kuwa poa!?
 
naona waethiopia kwenye mtandao wao wa EthioSports.com wanajipa matumaini ya kurudisha, wanaifagilia kweli timu yao
 
naona waethiopia kwenye mtandao wao wa EthioSports.com wanajipa matumaini ya kurudisha, wanaifagilia kweli timu yao

Mechi imekwisha na Ethiopia imetolewa - labda nafasi ya TATU
 
Hebu nikapate Serengeti mbili za baridi halafu nije kuwashuhudia Tanganyika
 
Ivory Coast wameingia fainal

haya sasa tunawangoja wakina-Nsajigwa kama watatupa raha, sijui babu Poulsen ataendelea kutumia viungo au ataweka washambuliaji, tuendelee kupeana yanayojili, kili go go go go go!!!!
 
naona waethiopia kwenye mtandao wao wa EthioSports.com wanajipa matumaini ya kurudisha, wanaifagilia kweli timu yao
hata hivyo wamecheza mpira mzuri sana ila wamezidiwa kiufundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…