Challenge ya 2011; matches na results

Challenge ya 2011; matches na results

Msidhani kama yupo. Naona nyimbo za taifa zimepigwa vizuri tu. Maana akiwepo hata nyimbo za taifa huwa zinagoma

.. Hii kali.. nilimsikia jamaa mmoja akisema kwamba hata Mvua tangu 2005 hazina mpangilio, mara nyingi ukame sana zilifuatiwa na mafuriko!
 
nimeona hiyo moja nikajua goli dah hii presha hii mbaya sana
Ehe he he he he he he! Hata mie nimeona ako ka "1" nikashtuka huku moyoni naombe ako kamoja iwe sie ndo tumeshinda, kumbe ni dakika 1 imeongezwa. Inshallah, tutashinda.
 
Kwa tathmini yangu wakuu, cranes wamepanga mashambulizi mengi. Kili wamefanya mashambulizi ya kama matatu kushtukiza ila yalikuwa hatari. Huyu commentator wa supersport anashindwa kabisa kutamka jina la nsanjigwa. Anatamka nasajigwa
 
kuna unafuu wowote wa timu yetu kwenye kipindi cha kwanza?
 
Kwa tathmini yangu wakuu, cranes wamepanga mashambulizi mengi. Kili wamefanya mashambulizi ya kama matatu kushtukiza ila yalikuwa hatari. Huyu commentator wa supersport anashindwa kabisa kutamka jina la nsanjigwa. Anatamka nasajigwa
ni kweli mkuu Tanganyika hatujatulia hatupangi mashambulizi ya kutosha
 
Poulsen ni kocha mzuri. Naamini kabisa ameisoma Uganda ilivyocheza kipindi cha kwanza na atatumia utaalam wake na uzoefu wake na kuipa Kilimanjaro Stars ushauri mzuri wa nini kifanyike ili kuwatemesha kombe hawa waganda. Ngoja tuone kipindi cha pili.
 
Back
Top Bottom