chokambayaa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 546
- 69
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti wakuu ukwi anachezea simba au yanga?
Sawa Sheikh YahayaNatabiri mechi itaisha kwa mikwaju ya penalti
dk 45 bilabila imeongezwa dk 1
Msidhani kama yupo. Naona nyimbo za taifa zimepigwa vizuri tu. Maana akiwepo hata nyimbo za taifa huwa zinagoma
nimeona hiyo moja nikajua goli dah hii presha hii mbaya sana
sawa sheikh yahaya
Halftime bilabila
Ehe he he he he he he! Hata mie nimeona ako ka "1" nikashtuka huku moyoni naombe ako kamoja iwe sie ndo tumeshinda, kumbe ni dakika 1 imeongezwa. Inshallah, tutashinda.nimeona hiyo moja nikajua goli dah hii presha hii mbaya sana
Halftime bilabila
Wanawachosha mabeki sanaDk 45 mambo bado magumu
Bado viungo wetu hawajakaza
ni kweli mkuu Tanganyika hatujatulia hatupangi mashambulizi ya kutoshaKwa tathmini yangu wakuu, cranes wamepanga mashambulizi mengi. Kili wamefanya mashambulizi ya kama matatu kushtukiza ila yalikuwa hatari. Huyu commentator wa supersport anashindwa kabisa kutamka jina la nsanjigwa. Anatamka nasajigwa