The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
mkuu wa nchi yupo uwanjani ?
kama yupo aombwe atoke arudi mjengoni
mkuu wa nchi yupo uwanjani ?
kama yupo aombwe atoke arudi mjengoni
msidhani kama yupo. Naona nyimbo za taifa zimepigwa vizuri tu. Maana akiwepo hata nyimbo za taifa huwa zinagoma
Kaseja, Nsajingwa,Mwasika,Kelvin,Nyoso,Nditi,Azizi,Ngasa,Boko,Nurdin...Mwenye list atujuze bana