Challenge ya 2011; matches na results

Nsajigwa leo acheza...
Nsajigwa sio tu ni beki mzuri ila pia anaweza cheza winga vizuri, uwa anapanda juu na kutoa krosi za uhakika. Tatizo lake anachezaga rafu zisizo na maana na kupata kadi. Lakini kijumla ni mchezaji mzuri tu.
 
mmmh presha inapanda presha inashukua vipi bado dakika ngapi?
 
Labda kwenye matuta Kaseja atatuokoa kama ndiye yeye yuko langoni
 
Duh,bora twende kwenye penalti tu hii nyongeza ya dakika huwa sipendi kabisa presha tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…