Challenge ya 2011; matches na results

Kumbe stars ni bingwa tayari
Kwa maelezo nliyoyasikia BBC na TBC
kwa kuwa Ivory cost ni timu mwalikwa hata ikishinda kesho
itapewa replica cup ila kombe halisi litabakia Tanzania
na kombe lenyewe ni jipya
Hii si itawavunja moyo waalikwa?
 
Dola 30,000 zitaenda kwa mshindi wa kwanza, ingawa tumeshinda kombe mpaka usawa huu nadhani itakuwa pouwa zaidi kama na hizi 30,000 tukazichukuwa. Pia, inanooga zaidi kama tutaifunga Ivory Coast, yani kuwa bingwa kabisakabisa. Naona kuwa mabingwa kisha tumechapwa mechi ya mwisho aitakuwa inanoga.
 
hivi Ngasa atacheza?
Ngasa binafsi aliniuzi sana juzi baada ya kushika mpira makusudi huku akijua anakadi mbili za njano hivyo iliimanisha mechi ya leo ataikosa na nipengo kubwa sana hasa ukilinganisha tutawakosa pia Mohamed Simba Banka na Henry Joseph Shindika...lakini kwa kumkosa Ngasa nakuwa nawasisi angalau kama angekuwepo Mgosi angeweza kuwa kimbiza kimbiza wa Ivory Coast....
 
leo wala msiwe na wasi akiwa mkuu hayupo ni ushindi tu
 
Muda si mrefu mtanange kati ya Ethiopia na Uganda utaanza....
Mshindi wa kwanza USD 30,000
Mshindi wa pili USD 20,000
Msindi wa tatu USD 10,000
Mgeni rasmi ni Kiwete...kazitunayo watanganyika
 
Muda si mrefu mtanange kati ya Ethiopia na Uganda utaanza....
Mshindi wa kwanza USD 30,000
Mshindi wa pili USD 20,000
Msindi wa tatu USD 10,000
Mgeni rasmi ni Kiwete...kazitunayo watanganyika

duh tumeumia, labda nae anatafuta namna ya kufuta gundu ila angesubiri ajaribu kwenye game nyingine sio hii, hii fainali ni muhimu sana kwenye historia ya soka nchini kwetu, huyu jamaa vp!!!
 
Leo uwanja utatabika kama juzi maana watu wanazidi kuingia mapema kabisa tofauti na juzi...
 
duh tumeumia, labda nae anatafuta namna ya kufuta gundu ila angesubiri ajaribu kwenye game nyingine sio hii, hii fainali ni muhimu sana kwenye historia ya soka nchini kwetu, huyu jamaa vp!!!
Kama ningekuwa na uwezo ningemuomba atoke kabla ya game kuanza vinginevyo tutazikosa Milioni 45
 
Kama ningekuwa na uwezo ningemuomba atoke kabla ya game kuanza vinginevyo tutazikosa Milioni 45

angesubiri kwanza tushinde then dakika za mwishoni akaja kutoa kombe moja kwa moja, tena mashabiki wangemfaigilia kweli coz by that time wangekuwa na molali ya ushindi na angeonekana ni mpenda michezo haswa.
 
goli zuri nsanA HILI LA ETHIOPIA, NA HUYU BEKELE ANAKIMBIA UTAFIKIRI KENENISA BEKELE
 
duh kumbe uganda vibonde ? au kwa sababu wamekosa kombe wameloose hope?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…