Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
we acha tu ukizingatia wangelichukua kombe jumla....Waganda wangetufunga jana wangeongea sana maana wangekuwa wametula kidude mdogo mtu na kaka mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we acha tu ukizingatia wangelichukua kombe jumla....Waganda wangetufunga jana wangeongea sana maana wangekuwa wametula kidude mdogo mtu na kaka mtu
hawa jamaa wa soccerway.com inabidi washitakiwe mbona ubao wao wa matokeo unaonyesha tumekunywa goli 9 kwa 1, hii inakuwaje. TFF fuatilieni hii kitu ni aibu, duh!! Uganda vs. Tanzania - 10 December 2010 - Soccerway
tushazoea mazomeo sisi kama makocha kuzomewa
jamani mbona mimi naona tofauti? inaonekana UGANDA VS. TANZANIA 0-0 Hebu chekini vizuri hapa Uganda vs. Tanzania - 10 December 2010 - Soccerway au wamebadilisha?
Ngasa binafsi aliniuzi sana juzi baada ya kushika mpira makusudi huku akijua anakadi mbili za njano hivyo iliimanisha mechi ya leo ataikosa na nipengo kubwa sana hasa ukilinganisha tutawakosa pia Mohamed Simba Banka na Henry Joseph Shindika...lakini kwa kumkosa Ngasa nakuwa nawasisi angalau kama angekuwepo Mgosi angeweza kuwa kimbiza kimbiza wa Ivory Coast....hivi Ngasa atacheza?
Muda si mrefu mtanange kati ya Ethiopia na Uganda utaanza....
Mshindi wa kwanza USD 30,000
Mshindi wa pili USD 20,000
Msindi wa tatu USD 10,000
Mgeni rasmi ni Kiwete...kazitunayo watanganyika
Dakika ya 5 Ethiopia 1 na Uganda 1
Kama ningekuwa na uwezo ningemuomba atoke kabla ya game kuanza vinginevyo tutazikosa Milioni 45duh tumeumia, labda nae anatafuta namna ya kufuta gundu ila angesubiri ajaribu kwenye game nyingine sio hii, hii fainali ni muhimu sana kwenye historia ya soka nchini kwetu, huyu jamaa vp!!!
Watu wanajua kutumia makosa ukifanya kosa haijalishi ni dakika ya ngapihee so fasta namna hiyoo??? kwamba hawa jamaa ndio wakali au ndo vibonde??
Kama ningekuwa na uwezo ningemuomba atoke kabla ya game kuanza vinginevyo tutazikosa Milioni 45